POATV

POATV

Paquet:
com.xmedia.tv.mobile.tsny
Téléchargements:
10K
Taille:
9 MB
Nécessite android:
4.1 ou version ultérieure
Mise à jour:
10 déc. 2018
122
Dernière version:
1.0.10
Âge:
10+
Gratuit Télécharger

Hili ni toleo la awali la POA TV. Hii ni APP ya Tanzania inayokuwezesha. kuona TV Zaidi ya 30 za hapa nchini na za kimataifa, maelfu ya filamu za. bongo, habari, muziki, michezo na burudani. Asilimia 80 ya maudhui ni. bure kutazama. Hivi karibuni kutakuwa na kifurushi cha data bila kikomo. kutoka Vodacom ili kutazama POA TV.

Commentaires

Articles similaires