Hadithizetu sasa imeboreshwa kwa mfumo mpya na wa kisasa kabisa. Soma hadithi za kusisimua kutoka kwa mtunzi mahiri Frank David (Hadithizetu). Application hii inakuwezesha kusoma hadithi bure, unachotakiwa kufanya ni kupakua application hii uendelee kufurahia hadithi zetu.